Nauza Godoro 4*6 inch 6

Nauza Godoro 4*6 inch 6

Jeny faraji

Senior Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
164
Reaction score
34
Nauza godoro 4*6 inch 6 halina cover yaani folonya yake! Bei 60,000 Atakae hitaji nitafute kwa. Namba >> 0693289203
 
e5f04eb069b00c01f6bfbaa2921c31f0.jpg
 
Mama unauza godoro usiku huu wa manane? Bwana ako hajafika bado?
 
Mkuu ulikuwa unalitumia mwenyewe? Kwa wiki ukikuwa unaoga mara ngapi? Au lilikuwa linatumika garage?
 
Back
Top Bottom