C CHAPKIA Member Joined Jan 31, 2014 Posts 13 Reaction score 0 Jun 21, 2015 #1 Nauza gari aina ya Subaru Outback ya mwaka 2006, imetembea km 108,000, ipo katika hali nzuri. kama upo interested ni pm. Attachments IMG_20140727_155543.jpg 162.6 KB · Views: 386 IMG_20140727_155619.jpg 132.3 KB · Views: 331 IMG_20140727_155817.jpg 139.9 KB · Views: 327 IMG_20140727_155702.jpg 153.4 KB · Views: 302 IMG_20140727_160345.jpg 193.8 KB · Views: 299
Nauza gari aina ya Subaru Outback ya mwaka 2006, imetembea km 108,000, ipo katika hali nzuri. kama upo interested ni pm.
makolola JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 765 Reaction score 290 Jun 21, 2015 #2 weka bei ya mwisho watu wakutafute si unajua wengi wanauza na bei wanaweka ,ni mitandao mingi na magazeti mengi.
weka bei ya mwisho watu wakutafute si unajua wengi wanauza na bei wanaweka ,ni mitandao mingi na magazeti mengi.
Kisima JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,585 Reaction score 5,849 Jun 21, 2015 #3 Mkuu kulikuwa na haja gani ya kuweka tangazo ikiwa taarifa muhimu umeweka chumbani? Biashara za kizamani sana hizi.... utasubiri sana..
Mkuu kulikuwa na haja gani ya kuweka tangazo ikiwa taarifa muhimu umeweka chumbani? Biashara za kizamani sana hizi.... utasubiri sana..
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,732 Jun 21, 2015 #4 Kazuri! Punguza basi bei tufanye biashara!
C CHAPKIA Member Joined Jan 31, 2014 Posts 13 Reaction score 0 Jun 21, 2015 Thread starter #5 bei yake ni 14,000,000