mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 93,884
- 132,154
mitsubish lancer....cc 1400...gari ni ya mwaka 98...iko ktk hali nzuri sana....haina tatizo lolote, bei yake ni 4.8mln mazungumzo yapo.napata tatizo la ku upload pic humu jf..kama mtu yuko serious ani pm ntamuonesha via whatsap.natanguliza salam