Nauza Gari

Nauza Gari

Fakharu

Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
60
Reaction score
2
Nauza gari kwa bei poa sana..lipo tanga kwa maelezo zaidi piga namba hii 0787108200 1394095076335.jpg1394095164506.jpg
 
Bei nipingie kama unaitaka..na vitu vingine pia utapita
 
Bei nipingie kama unaitaka..na vitu vingine pia utapita

kwa nn wewe usiwapigie simu watu na kuwauliza kama wanalitaka, ukaweka tangazo hapa?? Au ulivyolala usiku hujaota watu wanaolitaka ukawapigia cm??
 
Hiii ni sehemu ya biashara wewe...fikilia kabla ya kuandia divn 5 wewe
 
Hiii ni sehemu ya biashara wewe...fikilia kabla ya kuandia divn 5 wewe

Gari ndo unaiuza kwa details hizo!? weka mwaka ilotengenezwa, odometer inasoma ngapi, umeitumia kiasi gani ikiwezekana namba zake ni A,B au C!? taja na bei, ukiendelea na ubishi wako huo ukipata mteja hapa JF ujishangae.
 
Nimeshaandika hapo kwa maelezo zaidi piga simu sasa unataka nipinge pia card ya gari hahaha hivi unajua biashara wewe Baba V..pia biashara inamatango yake@baba v
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom