Nauza gari

Nauza gari

KIVURUGA

Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
23
Reaction score
0
Nauza gari aina ya Rav 4, old model, gari ipo katika hali nzuri. mwenye kuhitaji naomba anitafute kwa namba 0754 426 997, au anipm.
 

Attachments

  • photo.JPG
    photo.JPG
    705.3 KB · Views: 535
Mkuu details za gari kama transmission na mileage please ukiweza ni pm na price.
Thanks
 
Kama ni ya mashaka ni bora uiondoe hapa, vinginevyo weka details Zote hapa, wanunuZi tupo.
 
biashara ya kitu chochote kuwa muwazi toa details, on Kilometer iliyotembea, gari mwaka gani
 
Biashara gani ya PM hiyo mkuu?Weka bei na details nyingine tuone kama tunaweza kuimudu bei.
 
wasimamizi wa jukwaa hili ni vyema mtusaidie kusimamia wanaoweka matangazo hapa ili wawe wanaweka detail za kutosha, kama bei, mahali mzigo ulipo, aina ya bidhaa, mwaka kama ni gari mileage, etc
cc Moderator
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom