Anauza picha...
Ole wako tukose hela ya bia na gesti kwa kuwa tu unataka kununua gari.Hapo safi kabisa. Weka bei ya kuanzia sasa
Hiyo sticker ya be foward ibandue jamaa wanasifika kwa kuuza magari mabovu wanaojua washafahamu kuwa huo ni msala
Ole wako tukose hela ya bia na gesti kwa kuwa tu unataka kununua gari.
hahahaa!wewe nawe mnokoHiyo sticker ya be foward ibandue jamaa wanasifika kwa kuuza magari mabovu wanaojua washafahamu kuwa huo ni msala