Kwa Mlio Mwanza nina Gari Toyota Carina namba C iko ktk hali nzuri Sana
Nina Shida Muhim na kimfaacho Mtu chake Bei Ml 9 tu
Sihitaji Dalali
Alie Serious ani PM
Kwa maelezo zaidi
Mkuu Hii Gari niliagiza Mwenyewe ni Gari ambayo iko vzr
Niki Serious nina jambo limenibana siwezi lianika Hadharani
Ila mwenye kuhitaji ani PM
Nadhani hatutoshindwana