Nauza gari "verossa"

Reg. No ni. T BL kuhusu exemption sielewi full ni na half ni ipi, lakini kwa ufupi ni msamaha wa kodi kwenye magari unaotolewa kwa watumishi wa umma (Import duty, Excise duty)

Ok nazani itakuwa imesajiliwa mwezi wa nane hadi wa 9 mwaka 2010! Full namaanisha msamaha 100% na Half namaanisha msamaha 50% na 50% unalipia wewe,kwa kodi za TRA kodi ni kama mil5.4 kwa verossa! Kwa 10.5m nakupa 13.5 bado ipo juu,si umeona mdau hapo kapost verossa safi silver ya 2002 kwa cif ya 6400(~9.6m bila kubageni) ukupiga kamongo hapo inaweza ikashuka hadi Usd 5,800
 
he he good agizia mkuu.
 
hapana mkuu bora nikanyagie mwenyewe, nitavumilia tu hii hasara ya mafuta
 
Ulisema unauza 11.5 M. Iweje tena imekuwa 13M? Angalia mwanzo wa uzi wako.

ha ha mkuu nimeedit leo ndio nimepunguza mpaka 11.5 nadhani sijaedit vizuri. kama unahitaji sema mkuu 11.5
 
mkuu lita moja ya wese inatembelea kwa kilometa ngapi?
Kaka GP kwa verossa lita moja ni 8KM kama unaendesha vizuri na unafanya service kwa wakati lakini kama unakanyaga hovyo na hufanyi service nzuri inakula zaidi. any way siuzi tena nimeamua niendelee kuitumia manake nilitaka tu kubadili aina ya gari.
 
Reactions: GP

hii yako ni 6 cylinder,
kwa Verossa ya 4 cylinder ya 2000cc inaweza kula kilometa ngapi kwa lita 1? natafuta ya 2000cc 4 cylinder maumivu yake kidogo nahisi yanaweza kua na uafadhali mkuu, hebu nishauri mapema.
 
Ndio ya kwangu ni 6 cylinder na ni cc 2000 nadhani 4 itakuwa inakula vizuri zaidi sina uzoefu sana. lakini kuwa mwangalifu na aina ya mafuta kuna verossa za zaidi ya mwaka 2001 zinatumia highly premium fuel ukipata hiyo utapata sana shida hapa mjini mafuta mengi ni machafu. kila la heri ni gari nzuri sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…