Chezesha akili kidogo tu mkuu.
Haya magari tunaponunua online hua wanaweka na picha za kutosha tu. Na kama mtu uko interested na gari hakuna ubaya uki-download hizo picha, pengine unaweza ukazitumia hata kuwaonyesha washkaji au familia kua hizo ndo picha za gari ulioagiza.
Sasa inatokea siku unaiuza, kuna ubaya ukitumia picha zilezile za Japan kama una uhakika gari haijabadilika?