Nauza gari toyota Passo

Nauza gari toyota Passo

Supastar

Senior Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
110
Reaction score
94
Gari halijawahi kutembelewa Bongo
year :2006
Mileage :28737km
Transm: AUTO
Fuel😛etrol
Bei=mil 10,500,752/=
UNAWEZA KULIPA KWA AWAMU MBILI
Nipigie/ watsapp 0784112347 /0737881888
WhatsApp Image 2019-12-13 at 13.37.19.jpeg
WhatsApp Image 2019-12-13 at 13.37.21.jpeg
WhatsApp Image 2019-12-13 at 13.37.23.jpeg
 
Nyingine ni hii: Toyota IST

Mileage 70,500 Km
Engine CC:1298
YEAR: 2004
Trans: AUTO
Fuel; Petrol
bei=Mil. 11,638,527/=
Unaweza kulipa kwa awamu mbili
simu/watsapp 0784112347 / 0737881888
WhatsApp Image 2019-12-12 at 17.17.52.jpeg
WhatsApp Image 2019-12-12 at 17.17.52(1).jpeg
WhatsApp Image 2019-12-12 at 17.17.53(1).jpeg
WhatsApp Image 2019-12-12 at 17.17.53(2).jpeg
WhatsApp Image 2019-12-12 at 17.17.58.jpeg
 
Hivi Mimi huwa naona vibaya maana Passo ukiingia beforwad gharama zote na Kodi maximum imesimama Kati ya milioni 6-7 nikushauri kwenye Passo review price yako
 
Hivi Mimi huwa naona vibaya maana Passo ukiingia beforwad gharama zote na Kodi maximum imesimama Kati ya milioni 6-7 nikushauri kwenye Passo review price yako
Beforwad wanachofanya wanaweka mtandaoni bei ya gari kulinunua japan na gharama za kulisafirisha mpaka bandarini unakuta hiyo mil 6 au 7 ni hela ya kununulia hiyo gari mpaka bandarini tuu bei ya TRA hawakujumlishii ila ukijumlisha na TRA na gharama za Clearing ndo utakuja kugundua gharama halisi ya gari yako sio ile wanayokuwekea mtandaoni hata sisi ukiingia kwenye website yetu ukiingia utakutana na bei ya mpaka bandarini tuu TRA Utajumlishiwa pembeni kupata gharama halisi ya gari lako so mimi nilichofanya ni kujumlisha gharama zote kabisa yaani ufike na kuendesha gari lako bila kulipa gharama zingine zozote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom