Suzuki wagoni inauzwa iko kwenye hali nzuri imetembea kilometa 141123 na engine capacity cc 990 ya mwaka 1998
Yeyote mwenye interest apige simu namba zifuatazo 0716252588/0784552626
mafuta tu ndo uzuri wa hz gari jaman
umejuaje hapo kwenye red?Wadau naomba kujua hivi Suzuki wagon ni kale kadogo kama Suzuki Alto?
Spares zinapatikana kwa urahisi nchini kwetu?
Mdada naomba weka tupicha kidogo
Tuione hiyo gari ,mi natafuta gari pia
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Cyndy inajieleza kuwa wa kike that's y nikasema mdada kama nimekosea naomba samahani.umejuaje hapo kwenye red?
ikiwa ni njema hakuna rangi utaacha ona.