L luckman JF-Expert Member Joined Oct 11, 2010 Posts 1,211 Reaction score 373 Aug 24, 2011 #1 Ipo katika hali nzuri na ulaji wake wa mafuta ni mzuri-kwa yeyote mwenye kuitaji please call me 0713 362898 bei maelewano!
Ipo katika hali nzuri na ulaji wake wa mafuta ni mzuri-kwa yeyote mwenye kuitaji please call me 0713 362898 bei maelewano!
K kipira Senior Member Joined Aug 5, 2009 Posts 142 Reaction score 56 Aug 24, 2011 #2 mkuu weka picha!!!!!!!!!!!!!!
Dr wa ukweli JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 900 Reaction score 274 Aug 24, 2011 #3 Acha biashara za kizamani weka picha bei
O oldonyo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 549 Reaction score 86 Aug 24, 2011 #4 Odometer displacement ac cd colour ndo vitu tunavoitaji weko tujue pamoja na picha.
T Tasia I JF-Expert Member Joined Apr 21, 2010 Posts 1,223 Reaction score 193 Sep 1, 2011 #5 luckman said: Ipo katika hali nzuri na ulaji wake wa mafuta ni mzuri-kwa yeyote mwenye kuitaji please call me 0713 362898 bei maelewano! Click to expand... hivi kwa nini watu hamjifunzi ??? kila siku wanunuzi tunataka muweke picha na amelezo ya kutosha ikiwemo bei. we unaibukatu na kusema unauza wakat si hatuoni???
luckman said: Ipo katika hali nzuri na ulaji wake wa mafuta ni mzuri-kwa yeyote mwenye kuitaji please call me 0713 362898 bei maelewano! Click to expand... hivi kwa nini watu hamjifunzi ??? kila siku wanunuzi tunataka muweke picha na amelezo ya kutosha ikiwemo bei. we unaibukatu na kusema unauza wakat si hatuoni???
G-son Member Joined Sep 5, 2008 Posts 68 Reaction score 17 Sep 1, 2011 #6 Naomba ona picha zake mkuu tafadhali
Zing JF-Expert Member Joined Jun 24, 2009 Posts 1,767 Reaction score 470 Sep 1, 2011 #7 Mlango wa nne umeenda wapi? teh teh teh teh Joke