Nauza gari Million 9

Nauza gari Million 9

sooi

Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
14
Reaction score
1
Progress. Kwa mawasiliano piga: 0754 444 417

1417005748650.jpg
 
Progress. Kwa mawasiliano piga: 0754 444 417

View attachment 205802

Join Date : 16th November 2014
Posts : 3
Rep Power : 0

Likes Received
0
Likes Given
1






Unahitaji kusaidiwa

Jaza blanks hzi kwa kukusaidia

Aina ya gari............................................................
Model.....................................................................
Engine capacity.......................................................
Manufacture Year.....................................................
Iported kutoka wapi/ilikotengenezwa...........................
Odometer inasoma ngapi...........................................
Accident history (if any) ...........................................
Mahali ilipo kwa sasa ...............................................
Kwa nini unaiuuza ...................................................
Mawasiliano simu............................... .....................

Ongeza maelezo ya ziadi kumvutia mteja gari in dvd, ac, TV, seat pure leather.
njoo na fundi wako mkague, (mafuta ya kujaribia hadi Kibaha yapo joking)

halafu ongeza picha za pande zote za gari pamoja na ndani ya gari.

Kila la heri
 
haijagongwa, inaletha ya crem ipo dar es salaam fundi ruksa kuja nae. uko serios nipigie
 
haijagongwa, inaletha ya crem ipo dar es salaam fundi ruksa kuja nae. uko serios nipigie
sooi nakushauri nenda kwenye hiyo thread yako utakuta option ya edit fanya kama nilivyoelekeza post #3
 
Last edited by a moderator:
iko sokoni haijagongwa inapatikana dar ruksa kuikaguwa
 

Attachments

  • 1417084225511.jpg
    1417084225511.jpg
    47.3 KB · Views: 375
  • 1417084236186.jpg
    1417084236186.jpg
    68.6 KB · Views: 352
  • 1417084249625.jpg
    1417084249625.jpg
    67.8 KB · Views: 347
  • 1417084262979.jpg
    1417084262979.jpg
    84 KB · Views: 346
  • 1417084276706.jpg
    1417084276706.jpg
    62 KB · Views: 342
  • 1417084298207.jpg
    1417084298207.jpg
    89.3 KB · Views: 336
  • 1417084316233.jpg
    1417084316233.jpg
    61.5 KB · Views: 346
Natafuta wife material, mcha mungu, mtiifu, umri 20-28. Me nina umri wa miaka 33

Una Matatizo ya akili ww sio bure! Kwahiyo unauza gari upate mtaji wa kutafuta wife material?😕
 
Sorry wandugu kuna mtu katumia sm yangu kimakosa verry sorry
 
Sorry wandugu kuna mtu katumia sm yangu kimakosa verry sorry

Si useme tu kuwa ulikuwa unapeleka jukwaa lingine la kutafuta mke? Hakuna mtoto wa kudanganya hapa....:sly:
 
Natafuta wife material, mcha mungu, mtiifu, umri 20-28. Me nina umri wa miaka 33
Umepotea njia sio jukwaa hili peleka jukwaa LA mapenzi au ulikuwa unataka ajue umeshauza gari unamtaji Wa kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom