Nauza Gari Mil 3.9 tu

Status
Not open for further replies.

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
579
Reaction score
212
gari imeshauzwa tayari.
ahsante
 
Attachments

  • 1427450494187.jpg
    66.2 KB · Views: 1,853
  • 1427450557076.jpg
    65.6 KB · Views: 1,684
  • 1427450624192.jpg
    67.1 KB · Views: 1,597
  • 1427450654205.jpg
    58.6 KB · Views: 1,577
ivi izi gari zipo? zilipotea km bitle old model.
 
Utauza, shusha tu bei kidogo, achana na na wapiga kelele wa humu, ipost kwenye pages za fb utauza, jukwaa hili limejaa wanafunzi wanataka kununua simu, wanashinda mitandaoni ku-"fantasize" magari mapyamapya...ukipost la zamani kidogo utakutana na maropoko!
 
Mkuu fanya one M kuna mtu anahitaji, kama vp njoo kwa pm
 
Mleta uzi utaiuza tu hyo gari
 
nina m mbili cash pm me kama utahamua kuuza kwa bei hiyoo
 
naomba wakati mwingine mnapoweka tangazo mseme pia gari haina card,maana mmenipotezea muda wangu na fedha pia
 
nani atanunua gari isiyokua na card,labda akawauzie wakulima huko vijijini
 
nani atanunua gari isiyokua na card,labda akawauzie wakulima huko vijijini

Hahaa, ulienda kukagua ukakuta haina kadi? wamekupa maelezo gani? Kama imepotea tu si tatizo sana, ningekuwa naihitaji jningeenda kuiona.
 
Hahaa, ulienda kukagua ukakuta haina kadi? wamekupa maelezo gani? Kama imepotea tu si tatizo sana, ningekuwa naihitaji jningeenda kuiona.

ndio,na najuta kupoteza muda wangu,gar haina card wanadai ilipotea nikamwambia twende TRA kagoma sasa kweli huyo anania ya kuuza hio gar au anainjoi watu?
 
Kama kagoma kwenda TRA basi ni tapeli huyo...

ndio,na najuta kupoteza muda wangu,gar haina card wanadai ilipotea nikamwambia twende TRA kagoma sasa kweli huyo anania ya kuuza hio gar au anainjoi watu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…