Nauza Gari (Mazda MPV) Ya mwaka 2002

Doltyne

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
440
Reaction score
173
Wana JF nauza Gari yangu aina ya Mazda MPV ya Mwaka 2002, Automatic, Seven Seater family car kwa bei ya kutupa kabisa shilingi 9.5m na Maelewano yanaweza kuwepo. Sababu ya Kuuza ni kutotosheleza mahitaji yangu kwa kuwa hii gari Haina 4WD na Mimi naenda sana rough roads hivyo kunilazimisha kutumia usafiri mbadala wa jamii.

Serious Buyer, please call 0714881500
 
Gari nzuri sana mkuu kama 7.5 m utakubali ni Pm then tuone tutafanyeje au niwekee email kwa mzungumzo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…