zanzibar
Iko Zanzibar
waswahili shida sana..... yaani wewe ukiona kitu kinauzwa manake kimechoka?Inaonekana imechoka impaka imekuchosha sasa unatafuta wa kukupokea
Sent using Jamii Forums mobile app
masikini ndiye anayeongoza kwa nyodo na kebehiwaswahili shida sana..... yaani wewe ukiona kitu kinauzwa manake kimechoka?
Hizo Picha hata kipofu naoneka kama imechoka mpaka imekuchosha yaani umebadiri garage mpaka garage kwenye wamekuchoka bora ukauze kwenye scrap awaswahili shida sana..... yaani wewe ukiona kitu kinauzwa manake kimechoka?
Hutaki nkuletee kwenye garage yako? au unahisi pia utanichoka 😀Hizo Picha hata kipofu naoneka kama imechoka mpaka imekuchosha yaani umebadiri garage mpaka garage kwenye wamekuchoka bora ukauze kwenye scrap a
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuuliza labda uliwahi ikuta kwa fundi..... piga kaz umiliki yako usiendeshwe kwa choyo.... pole sanaMpaka unaliuza maana yake halitengenezeki , nakuhakikishia huwezi kupata mteja labda ulipeleke kijijin ukauze ml2
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanini
Tatizo watu wana choyo sana, hawaulizi kwanini bei iko chini.Mi nahisi anauza bei ya chini kwa vile anajua utatakiwa kulilipia kodi kulileta bara.
Siyo kwavile ni bovu.
Wenye hela watampigia wataambiwa kwanini engine imebadilishwa.
Wavimba macho tujitahidi kupita kimyakimya kwenye nyuzi kama hizi. Haswa tunapojijua mifukoni apeche alolo.