NAUZA GARI BENZ ML 320 NO T 252 ABG

bazoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
300
Reaction score
141
Nauza Gari aina ya Benz ML 320 colour ya Dark Blue mileage ni 184,345 ipo kwenye condition nzuri inatembea kwa mawasiliano zaidi nicheki PM.
Bei na maongezi ya ziada tuwasiliane chemba.
Bei ni reasonable kabisa.
Asante
 
Tuma picha, acha kuuza mbuzi kwenye Junia
 
hamna kitu upuuzi huu! acha kuja kuwa enjoy watu hapa
 
Mhh.. mil320 hivi jamani hapo siwezi kupata BMW X5 or X6?
 
Nauza Gari aina ya Benz ML 320 colour ya Dark Blue mileage ni 184,345 ipo kwenye condition nzuri inatembea kwa mawasiliano zaidi nicheki PM.
Bei na maongezi ya ziada tuwasiliane chemba.
Bei ni reasonable kabisa.
Asante
hiyo ML 320 ni bei au series??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…