Nauza Gari aina ya Harrier old Model

Nauza Gari aina ya Harrier old Model

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,405
Reaction score
3,061
Wadau habarini za mchana,ninaunza gari yangu aina ya Harrier Old Model,bei ni Tshs 15,000,000/ sababu zakuiuza ni kwamba kwamba nauza niweze kuongeza pesa ninunue gari jingine!
IMAG0164.jpg
IMAG0165.jpg
IMAG0168.jpg
IMAG0183.jpg
IMAG0178.jpg
IMAG0175.jpg
IMAG0172.jpg
 
Ungeweka na spécification za ukubwa wa engen yake.....na namba yako ya simu na location ya gari wapi inapatikana

Ova
 
Sorry sana kabla sijamaliza kuandika nikabonyeza inter mzigo uka jipost

Location ni Dar Es Salaam Kunduchi Mtongani..

Engine capacity ni CC 2362!!

Mawasiliano 0745 735 825
 
Sorry sana kabla sijamaliza kuandika nikabonyeza inter mzigo uka jipost

Location ni Dar Es Salaam Kunduchi Mtongani..

Engine capacity ni CC 2362!!

Mawasiliano 0745 735 825
Bado unayo tuongee?
 
Back
Top Bottom