Wakuu habari nimeamua kufunga ofisi yangu kutokana na biashara kuwa ndivyo sivyo, nina meza kubwa,printer,cabinet na meza ya reception na kiti cha reception,pamoja na viti vya wageni vinne,
bei ni maelewano...kwa picha njoo pm
na tangazo ungelitolea pm mkuu.... picha tu imekushinda kuweka ? biashara matangazo babu ungeambataniisha na picha, nani akufate pm ? kizuri kinajiuza........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.