Dodo18 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 315 Reaction score 93 May 2, 2018 #1 Habari wadau. Kama heading inavyosema, nauza double fryer ya kukaangia chips! Ni bado mpya ina chini ya mwezi mmoja tu. Bei yake ni 250,000 na maongezi yapo. Kwa mawasiliano na picha zaidi, tuwasiliane kwenye namba zifuatazo 0754762856 au 0712220207
Habari wadau. Kama heading inavyosema, nauza double fryer ya kukaangia chips! Ni bado mpya ina chini ya mwezi mmoja tu. Bei yake ni 250,000 na maongezi yapo. Kwa mawasiliano na picha zaidi, tuwasiliane kwenye namba zifuatazo 0754762856 au 0712220207
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,187 May 3, 2018 #2 Natakabya gesi. Hiyo si unakula sana umeme ndugu