Nauza fridge ndogo bei ya kutupa

OckyT

Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
52
Reaction score
39
Habari za jioni wakuu nauza fridge ndogo ipo Morogoro nauza 250,000/. Ukihitaji nicheck DM mkuu nikutumie picha kwenye watsap.
Karibuni wakuu
 
Habari za jioni wakuu nauza fridge ndogo ipo Morogoro nauza 250,000/. Ukihitaji nicheck DM mkuu nikutumie picha kwenye watsap.
Karibuni wakuu
Mkuu ni vyema ukaambatanisha picha hapa hapa. Ndio kanuni za Jukwaa hili.

Vinginevyo tutalazimika kuliondoa hewani tangazo lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha hiyo
 
Attachments

  • IMG-20170709-WA0005.jpg
    40.9 KB · Views: 110
Kwa ndani
 
Attachments

  • IMG-20170709-WA0001.jpg
    36 KB · Views: 102
Habari za jioni wakuu nauza fridge ndogo ipo Morogoro nauza 250,000/. Ukihitaji nicheck DM mkuu nikutumie picha kwenye watsap.
Karibuni wakuu
Utakuwa mgonjwa, 250000 pesa ndogo afu eti friji ndogo.
 
Mwa

Kwa hiyo wewe unataka kuona picha tu then after kuona picha what next
Mkuu hakuna ugomvi,picha ni muhimu sana kwenye kuuza biashara za online...Jifunze kwa Alibaba,Amazon and the like wafanyavyo....ukiona matangazo yao ukilidhika ni kwenda hewani for negotiation tu na si kuanza kuomba wakutumie picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…