Kama iko poa, weka ofa, mimi nitakusaidia kutafuta wateja, nina deal na mambo ya spea za magari
Halafu usiogope kutaja bei humu mtandaoni, waliopo humu mtandaoni ndio hawa hawa tunaoishi nao mtaani na wengine ni ndugu zetu tunaowajua.
Andika bei yako, mtu kama ana nia ya dhati atakuja kuomba punguzo akiwa huko huko.