maga junior
Member
- Feb 7, 2018
- 19
- 1
Wadau nauza eneo lenye ukubwa wa heka 3 lipo Msanga Chamwino Ikulu Dodoma mwenye uhitaji mawasiliano nicheki 0712877148
Mbona bei kubwa aisee?Wadau nauza eneo lenye ukubwa wa heka 3 lipo Msanga Chamwino Ikulu Dodoma mwenye uhitaji mawasiliano nicheki 0712877148
Ni bei gani mkuu? Mbona Mimi sijaonaMbona bei kubwa aisee?
Punguza Mkuu
Dodoma kwa sasa si mahali salama kununua maeneo ambayo hayajapimwa. Hivi karibuni Serikali ilishatoa tahadhali hii.Huko si kumezuiwa kujenga?
Tangazo lilibatilishwa kaka ila kama unaona sio eneo salama sawa lkn watu wanawekeza kupita kiasiDodoma kwa sasa si mahali salama kununua maeneo ambayo hayajapimwa. Hivi karibuni Serikali ilishatoa tahadhali hii.
Eneo limepimwa?Wadau nauza eneo lenye ukubwa wa heka 3 lipo Msanga Chamwino Ikulu Dodoma mwenye uhitaji mawasiliano nicheki 0712877148
Halijapimwa mauziano yanasimamiwa na serikali za mitaaEneo limepimwa?
HahahahahahaUngekuwa mtoto wako ni yule dogo Athony wa Karagwe, angekupeleka polisi!