Shukran great!Changamoto ni pale unapouza kitu kwa sababu ya matatizo! Yaani kupata wateja kwa bei unayotaka siyo rahisi.
Kwa Mgeninani navyoifahamu ingawa si sana,hiyo bei uliyotaka enzi za Kikwete nadhani ungepata.Lakini sasa hivi ni kazi kweli kweli.
Sasa mbona ulidanganya mwanzo kwa ukubwa wa eneoAsante mkuu.. kumbe social science ina sehem zake. Na kuhus bei mkuu mbagala siyo goba au chanika na mwembemdogo(dege) we una bei gani niangalie maslahi yangu
Karibu kijichi mkuu umewah kufika..!? Shukrani kwa mchango wako
Mkuu huyo w 10m tuyajenge kimisingi ya mali kwa mali+pesa. Kam ana nyumba amabayo tutakompaset na yangu akaongez 10m. Hao jf wapo Tu wengine hata ya kula hawanaSasa wewe nyumba yako iko kijichi au Mgeni nani?
Mbona unamix mafile mzee.
Mgeni nani n kwingine na kijichi ni kwingine, ilo eneo lingekua kijichi nisingeshangaa ila kwa Jegrafia ya apo Mgeni nani utasubiri sana na kama ulipata Mteja wa 39 basi mrudie uyo uyo tena umwambie haina kudiscusa zaidi.
Uko juu naona kuna Member kakwambia 10M ukamwambia muyajenge PM now unasema ulipata 39M ukakataa ebu jifikikie Mara 2 bro.
Nkutakie siku njema
Corana hii au covid 19 kupata hiyo 10 M shukuru sana na uza mara moja usijitie mbwembwe pesa hakuna ndugu na biashara imekufaMkuu nakuhakikishia Hautapata Mteja wa kununua ilo eneo kwa pesa iyo trust me ata Dalali akija ata kwambia.
Apo chamazi kuna Jamaa alijenga nyumba ikamshinda na n bonge la nyumba haswa alianza M70 kuuza imekaa miaka 15 mpaka sasa ameshusha mpaka 25M bado ajapata mteja.
Ebu vuta picha kama maeneo ayo watu wananunua nyumba 20M,15M mpaka 10M na Ni nyumba ya vyumba vitatu sitting, dinning, kitchen na stoo be serious utapata mteja ila acha kuwa na Tamaa za kupata pesa nyingi uku mazingira ya eneo, na ukubwa havirizishi
Maeneo ya Mbagala watu wanaokaa ukanda uo wana pesa za kudunduliza na unajua ni watu wa Kusini kwa 95% sasa M45 akija dalali ata kwambia zangu 5 so atatafuta mteja wauze eneo kwa M50 je mteja atapatikana ?
Ukisema ushushe ilo eneo watakwambia uliuze M20-25 dalali anaweza jitahidi mpata mteja japo pia nikwa mbinde sana so jaribu kutafuta madalali pia kwa ilo
Huu umakini ni wa kiwango cha lami ndug Mhandisi Mzalendo hili eneo la mto 'mzinga' na halina athari yoyote kulingana na umbali pia 'relief' mto uko bondeni eneo lipo juu tambarare. Bakery ipo salama na naomba nkuambatanishie picha mtaa huu wenye bakery.Huo mto/kijito unaotiririsha maji kuja hapo bakery upo umbali gani kutoka hapo?
Vipi kipindi hiki cha mvua kuna usalama?
Naona kuna aina ya majani na miwa imeota kawaida uota kwenye sehemu za maji pia kuna ukuta umekuwa mweusi kwa sababu ya kuathiriwa na maji..
Hebu fafanua
mkuu futi 50 x 60 ni sawa na Mita 15 x 18 ambazo ni Mita za mraba 270.Saw mkuu mita za mraba 480 mkuu.
Kwa hiyo hii super high density hakuna pakupumulia ndiyo anauza 45m? Mgeni nani ni uswahilini proper kabisa. Mwenye 45m means ana uwezo wa kupata 50m na kuendelea. Hivyo kununua nyumba SQM 270 haitawezekana.mkuu futi 50 x 60 ni sawa na Mita 15 x 18 ambazo ni Mita za mraba 270.
Halafu MbagalaAcha uongo... Hapo ni mita za mraba ni 270...
1m = 0.3 foot
Kwa hyo hapo ni 15m kwa 18m..
Halafu eneo dogo afu garama sana
Sijaelew ulichokiandik hapa mkuuKwa hiyo hii super high density hakuna pakupumulia ndiyo anauza 45m? Mgeni nani ni uswahilini proper kabisa. Mwenye 45m means ana uwezo wa kupata 50m na kuendelea. Hivyo kununua nyumba SQM 270 haitawezekana.
Mkuu mbagala ya kijichi ni tofauti na rangi tatu. Kwa kushauri ili kupunguza maswali uzi wako usomeke KIJICHI au hiyo mgeni nani....Pm bakery ipo hapo ktika Barbara hii. Mbagala siyo kote kuswazi wakuu tusikremu. Kama mteja njoo wasap nikutumie video, kuropoka ropoka hapa wakati huna hela wala uteja unaniharibia biashara nduguuuView attachment 1660179