Nauza eneo langu lipo Mbagala

NYOLODO

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
12,115
Reaction score
27,719
S
 

Attachments

  • 20201023_130918.jpg
    101.4 KB · Views: 32
  • IMG_20201023_155334_818.jpg
    129.4 KB · Views: 30
foot unamaanisha futi ? Taja vipimo kwa mita.
 
Acha uongo... Hapo ni mita za mraba ni 270...
1m = 0.3 foot
Kwa hyo hapo ni 15m kwa 18m..

Halafu eneo dogo afu garama sana
Asante mkuu.. kumbe social science ina sehem zake. Na kuhus bei mkuu mbagala siyo goba au chanika na mwembemdogo(dege) we una bei gani niangalie maslahi yangu
 
Hiyo wakongwe wa EPA ...una maana ya wezi?...mbona unaingia na maneno machafu utafikiri unauza Bangi....kwamba watake wasitake watanunua tu!
Hapana mkuu kuna memba hum jf wana hisa opo na Unilever kwao hiyo kes ndogo... joke tu
 
10 hela mkuu sema kama upo siriaz n unatak tufanye kitu njoo dm. Kam unawez kufanya biashar ya mali kwa mali+pesa
 
WAKUU eneo lipo barabarani pia shukran kwa walio siriaz. Raman hii kutoka Google GPS track. Eneo lipo kwenye doti ya rangi ya bluu
 
Mkuu nakuhakikishia Hautapata Mteja wa kununua ilo eneo kwa pesa iyo trust me ata Dalali akija ata kwambia.
Apo chamazi kuna Jamaa alijenga nyumba ikamshinda na n bonge la nyumba haswa alianza M70 kuuza imekaa miaka 15 mpaka sasa ameshusha mpaka 25M bado ajapata mteja.

Ebu vuta picha kama maeneo ayo watu wananunua nyumba 20M,15M mpaka 10M na Ni nyumba ya vyumba vitatu sitting, dinning, kitchen na stoo be serious utapata mteja ila acha kuwa na Tamaa za kupata pesa nyingi uku mazingira ya eneo, na ukubwa havirizishi

Maeneo ya Mbagala watu wanaokaa ukanda uo wana pesa za kudunduliza na unajua ni watu wa Kusini kwa 95% sasa M45 akija dalali ata kwambia zangu 5 so atatafuta mteja wauze eneo kwa M50 je mteja atapatikana ?
Ukisema ushushe ilo eneo watakwambia uliuze M20-25 dalali anaweza jitahidi mpata mteja japo pia nikwa mbinde sana so jaribu kutafuta madalali pia kwa ilo
 
Kuanzia Mbagara mpaka Chanika nyumba ya milioni 45 ni mjumba kweli kweli.
Kwa bei hiyo na nyumba hiyo hupati mteja abadani labla utumie ndumba.
Huu ni ukweli mchungu.
 
Kuanzia Mbagara mpaka Chanika nyumba ya milioni 45 ni mjumba kweli kweli.
Kwa bei hiyo na nyumba hiyo hupati mteja abadani labla utumie ndumba.
Huu ni ukweli mchungu.
Kijichi ,mkuu kuna mteja alikuja na 39 tumkataaa..
 
Karibu kijichi mkuu umewah kufika..!? Shukrani kwa mchango wako
 
Changamoto ni pale unapouza kitu kwa sababu ya matatizo! Yaani kupata wateja kwa bei unayotaka siyo rahisi.
Kwa Mgeninani navyoifahamu ingawa si sana,hiyo bei uliyotaka enzi za Kikwete nadhani ungepata.Lakini sasa hivi ni kazi kweli kweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…