kasanga70
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 227
- 517
Habari wadau: Nauza eneo langu binafsi ekari 2.5, lipo chalinze bwawani, umbali kutoka barabara ya lami ni mita 300 lipo katikati ya makazi ya watu, access ya umeme ipo na maji, eneo limepakana na kanisa katoliki na hospitali mpya ya kijiji cha bwawani, jamii ya wakazi inayozunguka hapo ni askari magereza na wanajeshi kiasi, eneo halina mgogoro linafaa kwa makazi, kilimo cha aina yoyote au ufugaji. Nilinunua tsh mil 2.5 miaka 5 iliyopita nauza mil 3.5! Sababu za kuuza vyuma vimekaza! Karibuni unaweza nipm au ukanicall