Gabriel Budo
Member
- Feb 19, 2018
- 66
- 3
Nauza eneo la karibia heka 2 karibia Kigongo ferry-Mwanza liko barabarani,bei ni sh 10,000,000.mawasiliano 0758708286
Ni eneo lilishapimwa na barabara ya lami imepitadah haya maeneo ya barabarani kwa awamu hii ya mshikaji yataka moyo kuyanunua aisee
Ipo bado?bei inashukaNi eneo lilishapimwa na barabara ya lami imepita