Tangazo kama hilo nikaingia kichwa kichwa, nikaambiwa nitoe down payment laki 7 kwa mtu anaeitwa Adam mpaka leo ni zaidi ya mwaka na nusu. Jihadharini wa jamii forum Adam ni tapeli wa hali ya juu, anaongea kama cherehani, anaishi Arusha nilikuwa kufahamu baadae, anajitambulisha kama Adam Mahende ila simu zake amesajili maji a tofauti tofauti.