Nauza earphone original nipo moshi nakuletea mpaka ulipo

Nauza earphone original nipo moshi nakuletea mpaka ulipo

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,770
Tumezoa kuona bidhaa kubwa kubwa ndo mtu anafanyiwa delivery

Ila hata kwa earphone nafanya hivyo unaweka order nakuletea bure mpaka ulipo
Bei ya earphone ni 9000 tu wapendwa

Zinatumika na zinasupport kwa smartphones zote

Napenda hizi earphone kwasababu ni original imara na zinadumu halafu mziki wake ni hivi[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] super bass halafu sauti kubwa kama yotee

Karibuni sana ukiwa moshi mjini au bomangombe nakuletea bure free delivery mpaka ulipo
Nicheki kwa namba 0759 432 654

Pia nina na usb wire original nzur sana urefu wa mita moja bei ni 5000 tuView attachment 970337
IMG_20181214_203942.jpg
IMG_20181214_203927.jpg
 
Sema maeneo ya delivery. Hata wa Tanganyika masagati akitaka moja utadeliver?
 
Sema maeneo ya delivery. Hata wa Tanganyika masagati akitaka moja utadeliver?
Mjini kote pale ndani ya mjini na nje ya mji kama Kibosho road,Machame road,sadala,mpaka boma
 
hizi micro usb zinapitisha 1A au 2A,yaani ni sifa za fast charging?
 
Back
Top Bottom