nauza duet mil 3.5 haina tatizo lolote inanusa mafuta cc900 imetembea 152,000km full sound pioneer &xplod.inadaiwa kibali kimoja tuu (road licence) mziki na rim tuu gharama zake imecost 2 million gari ipo mbezi kimara. kama upo serious nichek 0716385824
Kula laki 8 na nusu fasta mdau na mimi nitoe mkosi
kumbe siku hizi gari ni rahisi kuliko pikipiki. Looh hata mie nitanunua.
Umekosea,Narudia tena jf hakuna wateja
Kumejaa students
Umekosea,
Jf kumejaa Wafanya mas'hara.
Sasa kama huzijui siasa za humu utapasua kichwa chako.
Lakini tatizo lingine kila mtu kwa kuwa anajua kuandika basi anadhani anaweza kuwa dalali.
Mwishowe unaishia kupokea dhihaka.
Haswaaa.
Nikusaidie-je?