Nauza meza ( mninga mtupu) ya kujipodoa na kutunzia vitu vidogo vidogo vingi kwasababu ina draws 6 na kioo kikubwa na nafasi ya kuweka vitu vingi juu yake. Samani za mninga hazikamatiki. Bei 200,000. Dukani si chini 800,000. Njoo PM kama unalitaka. Niko Dar