Nauza dish na decoder ya dstv

Kaka kuuza Dstv ni ngumu, wapo msimu wa ofa huu ukinunua basi unafungiwa bure na kupewa miezi miwili ya Ofa, Alafu pia raha ya hivi vitu usajiliwe kwa jina lako.
 
Kwahiyo bei atakayenunua labda awe ametoka shamba Jana

Dstv mpya kabisa ni 79,000

Hapo unafungiwa, unapewa ofa ya kifurush cha 39,000 miez miwili bure

Sasa wewe unauza 50,000

MTU akatafute fund kufunga 20000 , inakuwa 70,000 hajaweka kifurushi labda cha mambo cha 19,000 , inakuwa 89,000


MTU huyo atakayenunua hiyo dstv kwako kwa 50000 atakuwa mpuuzi

Yaan unatakiwa ukiuze 10000

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom