SONY DIGITAL CAMERA.
10.1 Mega Pixels
4x Optical Zoom
2GB MEMORY CARD
Nimeinunua mpya wiki 2 zilizopita nimeitumia kupiga picha kwenye harusi na mahafali.
Ipo full na components zote kama USB na CD.
BEI NI TSH. 220,000 TU.
Kama upo interested ni PM
kweli biashara mapatano!!Mkuu mi nina 100,000/=
kweli biashara mapatano!!
Fanya 130,000/= niPm!!!!!!
Kaka hiyo 220, 000 ni BEI ya DUKANI,NI SONY Cyber-shot Model No: DSC-S3000