Dela
Member
- Aug 25, 2013
- 78
- 13
Habari za Leo Wakuu, kutokana na kukwama kwa mambo yangu mengi nimeamua kuuza bidhaa tajwa hapo juu, nna miliki Laptop na Desk Top Computers, Sifa zake ni hizi:-
1. Lap Top
Model - Acer Aspire E-531
15.6 HD LED LCD
1.8Ghz
2GB DDR3 Memory
320 GB HDD
DVD Super Multi DL Drive
6 Cell Li-ion Batter (Inakaa na Charge Kuanzia Masaa 4 hadi 5)
Ina Miezi 5 tangu niinunue, ina warranty bado, nilinunua Tsh 525,000/= Pamoja na Begi lake, nami Naiuza Tsh 400,000 Pamoja na Begi Lake.
2. Desk Top
ni Hp Desktop, ina Monitor Flat Screen Inch 22, Boonge la Screen.
Speed ni 3.2 Ghz
Ram ni 1 Gb
Dvd Writer
80 GB HDD
Nilinunua vyote kwa Tsh 385,000/= Nami nauza Tsh 300,000/=, ni nzuri, ngumu na inapiga mzigo sana, binafsi naikubali sana. Nna shida ya dharula, kitachokuvutia ni Pm tufanye Biashara.
Pics ni Hizi:-