nauza dell computer/cpu bei chee

nauza dell computer/cpu bei chee

Umbly

Senior Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
118
Reaction score
2
Bei tsh.laki na ishirini

Dell computer specifications;
HD:80
Ram:256
Processor:2.9ghz
n.b
ni case/cpu tu bila ya monitor wala keyboard n mouse
contact;0656063933 or pm
 
Napunguza bei hadi laki na kumi wakuu
 
Ram 256 MB?...uko wapi?

Hata mimi kaka naomba kujua kwa RAM hiyo uko dunia gani? At leaat ungetafuta RAM kubwa uipachike then uuze kwa bei nzuri. Kila mtu anaanza kuangalia RAM then Hard disk
 
Hata mimi kaka naomba kujua kwa RAM hiyo uko dunia gani? At leaat ungetafuta RAM kubwa uipachike then uuze kwa bei nzuri. Kila mtu anaanza kuangalia RAM then Hard disk

Ushauri mzuri,ila nmeamua kuiuza hvyo ilivyo kwa bei rahisi.
 
Back
Top Bottom