Nauza Containers/Makasha ya MSC, Maersk kwa bei sawa na bure

Nauza Containers/Makasha ya MSC, Maersk kwa bei sawa na bure

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,487
Nitafute nikuuzie containers za MSC, Maersk, CMA CGM ya 20ft na ambayo yapo katika hali nzuri.. Au unaweza niagiza Conteiner kutoka shipping line unayoipenda wewe.

Ntakuuzia kwa bei chee ya Dola 2500 hadi 3500. Kwa kila Container ya 20 ft.

Macontainer yote yapo Dar. Ukihitaji njoo inbox tuzungumze, bei inaweza kuoanda au kupungua, inategemeana na kiasi cha makasha utakacho nunua.

Wa mikoani unaweza ukatuma gharama ya kusafirisha ukaletewa ulipo.

Wahi sasa.
images-6.jpg
images-5.jpg
images-1.jpg
 
View attachment 1052094View attachment 1052095View attachment 1052096
Nasubiri mambo yakae sawa Nije kuwa BABA mwenye Makontena, Kuna mahali niliona mtu kanunua Kontena akazipandisha zikawa Ghorofa alivyozifanya yani ni kutamani TUU..Hata Nyumba haiwi nzuri vile kwakweli.

Siku moja nkishakua vizuri ntanunua haya mavitu halafu nayagawa vyumba Ndani..WAPANGAJI lazima wa COME tu
 
Sema haya mavitu huwa ni Gharama..hivi kwenye kudumu yana weza kuchukua MUDA gani hadi kushika Kutu na kutofaa kabisa?
 
Hiyo bei ni kubwa mno kwa 20 ft. $1500 would have been a fair price.
 
Back
Top Bottom