Malezi yako yana harufu kubwa ya kuwadekeza au watoto wako hawasikii wakiambiwa.Nilinunua coffee table ya kioo kama hiyo tangu 2012,mpaka leo hakuna kreki wala nn, na nina watoto na ndugu wengine chini ya 18yrs.
Tuwafundishe taratibu tu kuwa "usichee hapa na ucheze pale".Mtoto umleavyo ndio akuavyo!!