Habari yako mwana jamii.
Naiuza camera aina ya 7d plain pamoja na lens standard ya 18-55 mm kwa Tsh 1,200,000.
Camera bado ni mpya sana, tangu inunuliwe dukani imefanya kazi mara mbili tu na ina miezi miwili peke yake.
Inarecord hd video mpaka 1080 quality.
Sababu ya kuiuza ni kwa sababu nahitaji pesa ya kulipa madeni yanayonikabili na kupunguza ukali wa maisha.
Gharama ya aina hii ya camera dukani ni Tsh 1,450,000
Utakapochukua kwangu utapata na faida ya card cf ya gb 32 speed 80 bure. Ambapo hii peke yake ni tsh 120,000.
Wasiliana na mimi kwa namba hii 0654846084
View attachment 1320457View attachment 1320458View attachment 1320460View attachment 1320462View attachment 1320463
Sent using
Jamii Forums mobile app