Nauza bracelets kwa bei ya jumla

Nauza bracelets kwa bei ya jumla

Attachments

  • Picsart_23-01-05_21-56-03-757.jpg
    Picsart_23-01-05_21-56-03-757.jpg
    78.1 KB · Views: 27
Learn to practice what you preach

unaniambia nipende lugha yangu, wakati wewe binafsi jina unalotumia JF ni DREAM QUEEN, kwanini usingejiita NDOTO MALKIA ambayo ni kwa kiswahili

Bora usinge comment na ungekaa kimya, ingesaidia ku Hide ur foolishness
Mbona una ujuaji mwiiingi? Una biashara nzuri ila unataka kupoteza lengo.
 
Mkoani unatuma ninazitaka tumia Kilimanjaro express kiutuma ni nzuri sana ila bado sijachagua niitakayo
 
Back
Top Bottom