magai majigo
Member
- Sep 19, 2016
- 76
- 27
Unamawazo mazuri lakini hayajengi zaidi yanapotosha umma, ungekua mjanja ungeuliza kwanza kuusu ilo na ukaomba kuthibishiwa kua sio ya magendo, mtu mwenye akili timamu hua anapinga kwa hoja na sio kuongelea hewani, all in all pikipiki sio ya wizi nnaiuza kwa sabab fulani. VERY SORRY BROTHER KAMA NTAKUA NMEKUKERA KWA MANENO YANGUHizi pikipiki Mara nyingi ni za wizi sasa ili kujiridhisha mnatakiwa muuziane mbele ya mwanasheria na na muende TRA mkafanye transfer kabisa vinginevyo jombaa atakaenunua bila kuzingatia hayo itakula kwake.
Elewa kiswahili ndugu nmesema haili mafuta sio haitumii mafuta, namaanisha ulaji wa mafuta wa pikipiki hii ni mdogo sana
No thank you brother huajanikera nimeongea hivyo kwasababu mie nimeibiwa juzijuzi na najua alieiiba lazma atakuwa kauza.nilikuwa natoka caution tu kwa waungwanaUnamawazo mazuri lakini hayajengi zaidi yanapotosha umma, ungekua mjanja ungeuliza kwanza kuusu ilo na ukaomba kuthibishiwa kua sio ya magendo, mtu mwenye akili timamu hua anapinga kwa hoja na sio kuongelea hewani, all in all pikipiki sio ya wizi nnaiuza kwa sabab fulani. VERY SORRY BROTHER KAMA NTAKUA NMEKUKERA KWA MANENO YANGU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usimlaumu mdau ye katoa tu angalizo.Kumridhisha mnunuzi/mteja we uwe tu tayari kwa chochote kokote kule muende we si una uhakika Na chombo chako bwana.Unamawazo mazuri lakini hayajengi zaidi yanapotosha umma, ungekua mjanja ungeuliza kwanza kuusu ilo na ukaomba kuthibishiwa kua sio ya magendo, mtu mwenye akili timamu hua anapinga kwa hoja na sio kuongelea hewani, all in all pikipiki sio ya wizi nnaiuza kwa sabab fulani. VERY SORRY BROTHER KAMA NTAKUA NMEKUKERA KWA MANENO YANGU
Sent using Jamii Forums mobile app