TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,300
weka pichaaa aiseeeWakuu habari, nauza piki piki yangu, aina ya LANTIC, imetumika mwaka mmoja, ipo katika hari nzuri, na inapiga kazi ya boda boda. Bei ni laki nane, napatikana mbagara-dar es salaam, kwa mawasiliano 0757950376, kuhusu picha, simu yangu haina uwezo wa kutuma picha hapa, ila unaweza PM , nikakutumia picha zake kwenye watsap. NB. Bei haipungui hata shilingi moja, na lengo la kuuza nataka nihame kituo cha kazi, so itakuwa ngumu kumsimamia dereva.
weka pichaaa aiseee
Wakuu habari, nauza piki piki yangu, aina ya LANTIC, imetumika mwaka mmoja, ipo katika hari nzuri, na inapiga kazi ya boda boda. Bei ni laki nane, napatikana mbagara-dar es salaam, kwa mawasiliano 0757950376, kuhusu picha, simu yangu haina uwezo wa kutuma picha hapa, ila unaweza PM , nikakutumia picha zake kwenye watsap. NB. Bei haipungui hata shilingi moja, na lengo la kuuza nataka nihame kituo cha kazi, so itakuwa ngumu kumsimamia dereva.
Mkuu nakutafuta kwenye simu hupatikan?Wakuu habari, nauza piki piki yangu, aina ya LANTIC, imetumika mwaka mmoja, ipo katika hari nzuri, na inapiga kazi ya boda boda. Bei ni laki nane, napatikana mbagara-dar es salaam, kwa mawasiliano 0757950376, kuhusu picha, simu yangu haina uwezo wa kutuma picha hapa, ila unaweza PM , nikakutumia picha zake kwenye watsap. NB. Bei haipungui hata shilingi moja, na lengo la kuuza nataka nihame kituo cha kazi, so itakuwa ngumu kumsimamia dereva.
Mkuu nakutafuta kwenye simu hupatikan?
Mkuu nakutafuta kwenye simu hupatikan?