Nauza blackberry z10 bei 150000

Nauza blackberry z10 bei 150000

Umenikumbusha BB yangu. .... ilikwapuliwa na washenzi.... nikachukua z30 ila haikuwa tamu kama z10. Nikahama hiyo brand mazima.
 
hiyo
3567612.jpg
 
Simu nzuri sana hiyo,nina miaka nayo minne,na bado inapiga kazi njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom