Nauza Blackberry Bold 9900 bei chee kabisa

Nauza Blackberry Bold 9900 bei chee kabisa

ethicx

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
311
Reaction score
127
Wana JF, nauza blackberry bold 9900 touch screen na keypad smartphone. Screen yake scratch resistant haikwaruziki hata uiweke na coin au funguo, camera yake ni 8MP inatoa picha safi na nzuri. Internal storage yake ni 8GB pia network ina support 3G/H+ hapa unapata internet yenye kasi na EDGE/GPRS/GSM. Ipo katika hali nzuri kabisa bei yake ni Tsh.290,000 serious buyer call me 0655069989
 
Kwa beinhiyo, hiyo itakuwa ni zile za sabuni ZA UBUNGO. Hapatwi mtu humu.
 
menauza blackberry bold 9900 original ilikuwa locked kwenye network ya vodafone uk, nimeifungua iko ktk hali nzuri sana,imetumika kwa muda wa miezi 2 tu, bei 400,000 kama kuna mtu anaitaka tufanye biashara..!
:wink2:
 
Anaetaka picha ani pm namba yake ya WhatsApp nimtumie picha coz hapa natumia sim nashindwa ku upload picha.
 
Kwani kuna watu ambao bado wanatumia blackberry now days?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom