Nauza betri ya gari bei nzuri

Uko Nyamizeze mkuu? manake tangazo halijajitosheleza
 
Bei dukani laki na kumi mitaa ya lumumba , dah hyo bei unaua kaka
 
kabla haujauza tayari ina Foka hapo ukiwasha full Inapasuka sikuizi watu hawatumii hizo za kuweka maji ya CHOONi mkuu
 
NS70 Maintainance free isiyoongezwa maji(distilled water) inafungwa kwenye gari zenye engine capacity 1800-2100
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…