Ni simu yako au ya wizi. Kama ni yako unashindwa nini kuweka details hapa. Jana tu kuna jamaa yangu kaporwa bbm 8525. Unapatikana wapi tukutane si kwa lengo la kununua ila ni kujiridhisha kama hiyo simu siyo ya jamaa yangu