Nauza bb bold 9700

Nauza bb bold 9700

Donpela

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
2,040
Reaction score
592
Kwa laki 2.5
nipo arusha
ipo katika hali nzuri
 
Yan unategemea kweli huyo mnunuzi atakubaliana/ataamua tu kufanya maamuzi ya kununua hyo simu bila kupewa current condition yake au hata picha? Haya tuma fasta niko interested.
 
Dah nimeshahau simu za Blackberry na Nokia,tokea Samsung washike soko,naona urasimu wa BB wa kutaka kulipia BIS kwa mwezi Tsh 35,000 kupata huduma ya internet au hizo weekly bundle zao kunawakimbiza wengi ,pamoja na kuwa inapokuja swala la emails BB hawana mshindani
 
mkuu tigo service elfu 20 tu kwa mwezi. .
 
Na we tigo ndo mtandao gani sasa.. Unaishia mlandizi.. Nilitaka kununua simu yako ila ushaniuzi.. Nimegairi!

namimi nimuuzie MBUMBUMBU. ..uizalilishe cmu yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom