sema unataka upate marafiki wengi kwenye simu yako , au ndio mara ya kwanza kumiliki simu sasa unataka kuweka heshima kwa demu wako , tukupigie simu kuulizia bata wakati umelala ntakupigia saa 7 usiku vp ni poa , tangazo la biashara linatakiwa lijitosheleze