Nauza Bata Bukini na Mzinga bei Poa

Nauza Bata Bukini na Mzinga bei Poa

ndaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
347
Reaction score
49
Salaam wadau....nauza bata bukini jike na dume wa miezi 4 kwa laki 2 wote na Bata Mzinga dume wakubwa kabisa kwa elf 80 kila mmoja.Wako Morogoro Mjini. Contacts 0689900000.
 
Mwezi wa April nitahitaji vifaranga wake.
Nitapa?
Je watakuwa kwa bei gani?
 
Uswayn sule ungeweza kuanzisha uzi wako kuliko kuingilia uzi wa mwenzio.pia kwenye biashara unsema na bei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom