Gabriel kissaka
Member
- Oct 3, 2015
- 25
- 1
Lita -sh 500 ndo bei yake
Mhhh kwa bei yako haiwezi kuwa asali labda sukari guru
Ndugu wana JF. Nauza asali ya nyuki wakubwa ila soko bado linanisumbua naombeni msaada wenu. Nauza kuanzia ujazo wa lita moja kwa sh 10000 pia ninauza jumla dum la lita ishirini kwa sh 160000. Nipo sinza karibu na meeda. Mawasiliano 0674003082/0766849951