TAJIRI MSOMI
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 501
- 525
Wakuu, nina asali ya nyuki wadogo kutoka Tabora (original) kiasi cha lita tano (5 ltrs) nauza yote kwa pamoja kwa bei ya sh.100,000 tu, ninapatikana DSM , Kimara Temboni. Kama unahitaji njoo PM au Whatsapp/sms/piga 0766943145 kwa maelezo zaidi namna ya kupata mzigo na malipo.
Kwa wajuzi, hii ni bidhaa adimu na bei yake ndogo sana hio nimeweka, so atakaye wai ndiye atakaye chukua (FIRST IN FIRST OUT)
Kwa wajuzi, hii ni bidhaa adimu na bei yake ndogo sana hio nimeweka, so atakaye wai ndiye atakaye chukua (FIRST IN FIRST OUT)